Vikundi vya upendo power,amka talent na red light wakiwa makini kuskiliza maelezo kutoka kwa viongozi wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni..
wasanii amkaaa.... upate nuru ya haki weweeeee......
msanii wa upendo akiuliza swali wa viongozi..
msanii wa upendo power...
viongozi wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni wakijibu maswali.