SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Thursday, December 1, 2011

MASKINI ...MR EBBO AFARIKI DUNIA....USIKU WA KUAMKIA LEO.

 
marehemu abbel olemotika(mr ebbo) 

Msanii wa musiki pia hata filamu abbel olemotika(mr ebbo) ambaye ni producer wa motika records iliyopo tanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa maradhi yaliokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu...chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni kinatoa rambirambi kwa familia ya mzee olemotika na wapenzi wa mr ebbo...mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...amin.