RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA SIAMON MWAKIFAMBA AKIWA NA KATIBU WAKE WILLSON MAKUBI WAKIWA KWENYE KIKAO CHA KWANZA CHA SHIRIKISHO...
RAIS MH:SAIMON MWAKIFAMBA AKIWA NA MAKAMU WAKE MH:SULEIMAN LINGANDE WAKIWA MAKINI KUWASIKILIZA WAJUMBE WA BODI...
MJUMBE WA BODI YA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA MH:JOHN KARAGE AKIELEZEA MIKAKATI YA SHIRIKISHO....
MJUMBE WA BODI YA SHIRIKISHO MH:CHRISTIAN KAUZENI AKITAKA KUULIZA SWALI KWA RAIS HM:SAIMON MWAKIFAMBA...
RAIS MH: SAIMON MWAKIFAMBA AKIELEZEA BAADHI YA MIKAKATI AMBAYO TAFF ITAFANYA KWA MWAKA UJAO...