SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Saturday, December 31, 2011

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA MUSWAADA TAIFA AFANYIWA UPASUAJI WA KIDOLE TUMBO...

 Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa mswaada mh Maisala akiwa amepumzika katika hospital ya amana dar-es-salaam baada ya kufanyiwa upasuaji wa kidole cha tumbo kilichokuwa kikimsumbua hafla toka siku ya j.nne iliopita...
 Rais wa shirikisho la filamu tanzania mh:Saimoni mwakifamba akiwa na wajumbe wa bodi wa shirikisho hilo mh:deo songa na ali baucha walipomtembelea kumjulia hali yake katika hospital ya amana dar-es-salaam...
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa mswaada taifa mh:Maisala akionyesha sura ya furaha baada ya kufanyiwa upasuaji wa kidole tumbo alhamis iliopita...