SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Sunday, December 4, 2011

MKUTANO MKUBWA WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) TAREHE 7-DEC-2011..

 
RAIS WA SHIRIKISO LA FILAMU TANZANIA (SAIMON MWAKIFAMBA)

Shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) wakishirikiana na body ya filamu Tanzania Wanawaletea mkutano wa wadau wote wa filamu Tanzania utakaofanyika tarehe 7-dec-2011 ktk ukumbi wa vijana  social hall itakaofanyika saa saba kamili mchana agenda kuu ya mkutano ni mustakabali mzima wa tasnia ya filamu katika kuazimisha miaka hamsini ya uhuru na mikakati ya miaka hamsini ya  ijayo katika tasnia ya filamu tanzania. tumethubutu, tumeweza, na tunazidi kusonga mbele,, tafadhali usomapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako, AMKA TAFF NURU YA HAKI.....