mkurugenzi wa utamaduni mr mwansoko akisoma hutuba yake leo kwa wadau,wanachama na wapenzi wa tasnia ya filamu tanzania kwenye mkutano mkubwa uliofanyika mjini dar-es-salam..
katibu wa bodi ya filamu tanzania mrs Joice.g. Fissoo akisoma kanuni kwa wadau wanachama kuwa kabla tarehe 13 jan 2012 film zote za nje na ndani zijisalimishe kwa hiyari bodi ya filamu kwa ukaguzi na kuanza kutumika kwa sheria hizo na kanuni zake...