Muigizaji Nguli wa vichekesho kutoka kipindi chao cha Mizengwe kinachorushwa na runinga ya ITV,Bwana Mkwere kesho anataraji kufunga ndoa.Harusi itakuwa maeneo ya Mabibo nyumbani kwao kabisa na Bibi Harusi. '''Mkwere ameiambia Blog hii kuwa, siku ya leo ni Mkesha wa harusi yangu hapa kwetu Sinza Mugabe.Kisha kesho ntakuwa navuta jiko ndani.
Chama Cha waigizaji Mkoa wa Kinondoni tunapenda kumtakia kila lakheri katika safari yake hiyo.