NDUGU SAIMON MWAKIFAMBA.
WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA...WOTE MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI SIKU YA UCHAGUZI TAREHE 22 DEC 2011 BASATA ILALA DAR-ES-SALAAM SAA NNE ASUBUHI KUSHUHUDIA KUPATIKANA KWA VIONGOZI WA KWANZA KIKATIBA WA SHIRIKISHO HILO TOKA LIUNDWE, USIKOSE KUJUA VIONGOZI WAKOOOO.....AMKA..NURU YA HAKI....