mkurugenzi wa idara ya utamaduni prof: mwansoko akiwa na viongozi wa vyama mbali mbali vya tasnia ya filamu tanzania kabla ya mkutano wa kushereke miaka 50 ya uhuru wa tanzania na mustakabali mzima wa miaka 50 ijayo ya tasnia ya filamu tanzania uliofanyika leo 7 dec 2011..ukumbi wa vijana kinondoni...
Prof: mwansoko akisoma hutuba yake
mrs joice.g. fisoo akizifafanua sheria na kanuni za tasnia ya filamu tanzania
wakili wa bodi ya filamu tanzania ndugu kipangule akielezea pia kanuni kisheria zaidi...
rais wa shirikisho la filamu tanzania saimoni mwakifamba akisisitiza wadau na wasanii kujiunga na vyama vyao haraka sana kabla ya tarehe 13 jan 2012..kuwa ni muhimu sana kwa maendeleo yao na taifa kwa ujumla..
umati wa wasanii na wadau wa tasnia ya filamu tanzania ulivyofurika leo.....kazi imeanza sasa...
mwenyekiti wa chama cha waigizaji taifa mike sangu
john lister akiuliza swali kwa wakili wa bodi ya filamu tanzani..
viongozi wa serikali wakiwa na viongozi mbalimbali...kabla ya mkutano..
mwenyekiti wa jumuia ya waandaaji na wacheza filamu kutoka visiwa vya zanzibar ndugu msellemu issa musellem..
viongozi wa serikali wakipiga picha na viongozi wa vyama na vikundi vya tasnia ya filamu tanzania.
deo songa akiwa na patna wake...
msanii mtanga na katibu wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni wilson ishengoma
mwenyekiti wa chama cha waigizaji mkoa wa temeke ndugu dille akiwa na mjumbe wa kamati ya fedha,uchumi na mipango wa kinondoni ndugu doller enock na bi mwenda wakifatilia kwa makini kujua kanuni zilizotolewa jana...