SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Thursday, December 1, 2011

UCHAGUZI MKUU WA TAFF TAREHE 22 DEC 2011..

WAGOMBEA WALIOPITISHWA NA TUME YA UCHAGUZI MKUU WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA UTAKAOFANYIKA DISEMBA 2011..(TAFF NATIONAL ELECTION COMMISSION,TAFF-NEC.)
                                 NAFASI YA RAIS.
                            (1) SIMON JACKSON MWAKIFAMBA.

                      NAFASI YA MAKAMU WA RAISI.
                            (1) SULEIMAN LINGANDE SULEIMANI.
                            (2) DANIEL BASILA RUGAIBURA.

                       NAFASI ZA WAJUMBE WA BODI.
                            (1) MWANAHARU HELA.
                            (2) KHADIJA NYAMBASI.
                            (3) MAUREEN MVUONI.
                            (4) MARIAMU ISMAILI.
                            (5) JOHN KALLAGE.
                            (6) ALLY BAUCHA.
                            (7) CHRISTIAN KAUZENI.
                            (8) MAKAME J BAJOMBA.
                            (9) DEOSONGA NJELEKERA.
                            (10)EMANUELI MNYAMBA.
                            (11)MICHAEL SANGU.
                            (12)WILSON MAKUBI. 

WANACHAMA WA VYAMA VYOTE VYA FILAMU MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI SIKU YA UCHAGUZI UTAKAOFANYIKA BASATA ILALA, TAREHE 22 DEC 2011, ILI TUJUE VIONGOZI WETU WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA. TAARIFA HII IMETOLEWA NA TUME YA UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA IMETHIBITISHWA NA MWENYEKITI WA TUME NDUGU PAULYNUS MTENDA.... AMKAAA....TAFF NURU YA HAKI.