Mwenyekiti wa chama cha waigizaji mkoa wa temeke Fred Sumari (Dile) anaomba wanachama wote wahudhurie mkotano wa mkoa wa temeke utakaofanyika siku ya tarehe 5-dec-2011 siku ya jumanne ktk ukumbi wa harbous club kurasini kuanzia saa tisa jioni. tunaomba wanachama wote msikose kuhudhuria mkutano huu unaohusu swala la msanii mwenzetu Juma Kilowoko (Sajuki) na kuunda kamati ya chama cha mkoa wa temeke.
Tangazo by mwenyekiti chama cha waigizaji mkoa wa temeke.
Tangazo by mwenyekiti chama cha waigizaji mkoa wa temeke.