SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Sunday, December 4, 2011

STEVE NYERERE AZINDUA FILM YAKE "MR PRESIDENT" TAREHE 03-DEC-2011.

 Jacob Steven a.k.a J.B akiwa makini kuangalia filamu ya Mr President..
wakurugenzi wa papa zi company..
 Elizabeth Michael a.k.a Lulu.
msanii cloud akiwa na msanii mwenzake.
 
husein awadhi(dr cheni) akiwa makini kuangalia film ya mr president ilizinduliwa jana 3 dec 2011 movenpick hotel...
jacklin wolper katika poz ndani ya uzinduzi wa film ya mr president..
hisan muya(tino)nae alikuwepo movenpick hotel kwenye uzinduzi uliofanyika jana .
msanii wa filam akiwa katika pozz....
single mtambalike (rich rich)nae alihudhuria uzinduzi wa film ya "MR PRESIDENT"
christina a.k.a sinta naye akiwa katika uzinduzi wa filamu ya mr president iliyofanyika Jana movenpick hotel
william mtitu naye alishiriki katika kumsupport steve nyerere katika uzinduzi wa filamu yake ya mr president...
wema sepetu naye alikuwapo movenpick hotel kwenye uzinduzi huo...
D.J Penny ndani ya uzinduzi..
vicent kigosi a.k.a ray naye alitoa mchango mkubwa kwa kununua dvd ya mr president..
kati ya wakurugenzi wa R.J company johari naye akiwa makini katika kuangalia filamu ya mr president
msanii mchopa naye ndani ya uzinduzi wa mr President filamu. raaaaaa.....
mdau wa filamu akiwa makini katika uzinduzi huo..
ben kinyaiya katika pozi ndani ya ukumbi wa movenpick hotel kwenye uzinduzi huo....
msanii wa filamu Jennifer naye alikuwepo.
wadau wa filamu.
msanii mainda na mwenzake...
mwenyekiti wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni ally baucha akiwa na emmanuel myamba wakipata msosi katika uzinduzi wa mr president filamu....
 
Bi mwenda naye ni mmoja wapo wa wasanii wakongwe aliyeshiriki katika filamu ya mr president....
Hawa ni baadhi ya wasanii walioshiriki katika filamu ya mr president...
Raisi wa TAFF Saimon mwakifamba,baucha, na Hartiman mbilinyi wakisalimiana ndani ya ukumbi wa movenpick hotel palipofanyikia uzinduzi wa filamu ya mr President..
mgeni rasmi Mheshimiwa mbunge Vick Kamata...
marketing manager wa papa zi company akitoa maelekezo..
Mheshimiwa balozi
wasanii wa filamu Lulu, Wema wakiwa katika poziii..
washiriki wa filamu ya mr president wakitambulishwa
mheshimiwa mbunge naye alikuwepo...
Mheshimiwa Asha Baraka...
wasanii Ray,Steve nyerere,Jacob Steven wakitumbuiza kwenye uzinduzi huo..
mdau ambaye alichangangia kiasi cha shilingi milioni moja katika kununua dvd ya Mr president
 wasanii wa filamu wakiburudika na vinywaji,...