SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Thursday, December 22, 2011

MWAKIFAMBA ASHINDA UCHAGUZI WA TAFF KWA KISHINDOOO....

RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA
MH:SAIMON MWAKIFAMBA.
 Rais wa shirikisho la filamu tanzania Ndugu saimon mwakifamba baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa taff uliofanyika leo basata ilala,mwakifamba alipata kura za ndio 18 na hapana 0 na zilizoharibika 0 kati ya wapiga kura 18 waliostahili kikatiba kupiga kura ... 
MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA MH: LINGANDE
Makamu wa rais wa shirikisho la filamu tanzania ndugu lingande aliibuka mshindi baada ya kumgaragaza vibaya sana mpizani wake ndugu basila kwa kupata kura 15 kati ya 18 na ndugu basila akaambulia kura 2 tu za kufutia machozi...


WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA
MH:EMANUEL MNYAMBA MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 18 KATI YA 18 ZA WAPIGA KURA..
MH:WILSON MAKUBI MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 18 KATI YA KURA 18 ZILIZOPIGWA..
MH:MAKAME BAJOMBA MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 18 KATI YA KURA 18 ZILIZOPIGWA..
MH:MCHUNGAJI MIKE SANGU MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 17 KATI YA KURA 18 ZILIZOPIGWA..
MH:CHRISTIAN KAUZENI MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 17 KATI YA 18 ZILIZOPIGWA..
MH:JOHN KALLAGE MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 16 KATI YA 18 ZILIZOPIGWA...
MH:ALI M BAUCHA MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 15 KATI YA KURA 18 ZILIZOPIGWA...
MH:DEO SONGA MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 14 KATI YA 18 ZILIZOPIGWA...
MH:MORIN MVUONI MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 11 KATI YA 18 ZILIZOPIGWA...
MH:MWANAHAMISI HELA MJUMBE WA BODI ALIPATA KURA 10 KATI YA KURA 18 ZILIZOPIGWA...
VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA BAADA YA KUCHAGULIWA KIKATIBA 22 DEC 2011...
viongozi wa vyama mbali mbali wa shirikisho wakiwa katika ukumbi wa kupigia kura basata ilala leo..
kamati ya uchaguzi na viongozi wa basata wakihesabu kura za wagombea....


kiongozi wa basata mzee mayange akielekeza taratibu za kuhesabu kura...
katibu wa shirikisho aliepita wilson makubi akitoa maelekezo ya awali kwa viongozi wa vyama kuhusu upigaji kura kabla ya kuanza zoezi hilo la kihistoria hapa tanzania..
MH:mchungaji Mike sangu akipiga kura katika uchaguzi mkuu wa shirikisho la filamu tanzania..