Mkwele baada ya kuoa leo saa nane kamili mchana mabibo dar-es-salaam
Bwana harusi mkwele akiwa na baba wa bi harusi wakati wa kufunga ndoa leo...
Mkwele na baba wa bi harusi leo mabibo alipofunga ndoa...
BABA HARUSI
Shehe ambaye alimuozesha ndugu mkwele akimuuliza bi harusi kwanza kabla ya kufungisha ndoa..
ndugu na jamaa wa bwana harusi na bi harusi wakisubiri ndoa kufanyika huko mabibo...
Madrasa dampa wakiwa wanafanya kazi yao kwa taratibu kabla ya ndoa..
Mpango mzima full msosi...