kikundi cha bongowood cha msasani wakiwa makini kuskiliza maelezo kutoka kwa viongozi wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni.
Mkurugenzi wa bongowood dr seba nae alichangia kuelezea swala la kujiunga na uanachama wa chama cha waigizaji kuwa ni muhimu sana.
meneja wa kikundi cha bongowood kilichopo msasani club.
wasanii wa bongowood wakionyesha uwezo wao wa kuigiza leo...
mwenyekiti wa chama cha waigizaji na makamu wake wakielezea sera za chama chao....
bianca timoth,christina kisonga,salum chilwa,ali baucha viongozi wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni...
mweka hazina wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni christina kisonga akiwaonyesha wasanii wa bongowood form ya uanachama na taratibu za kujiandikisha.
makamu mwenyekiti wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni salum chilwa akijibu maswali aliokuwa akiulizwa na wasanii wa bongowood ...