Chama cha Waigizaji mkoa wa Kinondoni kinapenda kutoa salamu zake za rambirambi kwa familia ya Marehemu mzee Mlela kwa kuondokewa na Baba yao mzazi.Chama cha waigizaji kinatoa pole kwa msanii mwenzao ''Yusuph Mlela'' kwa kuondokewa na Baba yake mzazi.Mazishi yanafanyika saa kumi kamili katika makaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam
Inallilahi,wainalilaihi,rajiuuuni