Mwenyekiti wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni ali baucha..
ndugu baucha anawaomba wanachama wa vyama vyote vya shirikisho waje kwa wingi siku ya kesho j.tano basata saa nne asubuhi kushudia historia ya tanzania kwenye uchaguzi wa shirikisho kupata viongozi wa kikatiba...AMKA NURU YA HAKI.....