Waumini wakiusalia mwili wa marehemu mohammed simba aliefariki jana tarehe 14 dec 2011 saa sita mchana huko kibaha ..mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...amin
mwili wa marehemu mzee mohamed simba ukiteremshwa ndani ya kaburi kongowe mkoa wa pwani...
Rais wa shirikisho la filamu tanzania (TAFF)Saimon mwakifamba akiwa na viongozi mbalimbali wa vyama alipokuwa pamoja na kiongozi mwenzao wa pwani aliefiwa na mzazi wake kabla ya mazishi nyumbani kwa marehemu mzee Mohamed simba ambae ni baba wa mwenyekiti wa chama cha wigizaji mkoa wa pwani...
mwenyekiti wa chama cha waigizaji mkoa wa pwani Mh simba.m. simba..
viongozi mbali mbali wa ccm na vyama vingine nao walijumuika katika mazishi hayo yaliofanyika kongowe,kibaha...