Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa mswaada mh Maisala akiwa amepumzika katika hospital ya amana dar-es-salaam baada ya kufanyiwa upasuaji wa kidole cha tumbo kilichokuwa kikimsumbua hafla toka siku ya j.nne iliopita...
Rais wa shirikisho la filamu tanzania mh:Saimoni mwakifamba akiwa na wajumbe wa bodi wa shirikisho hilo mh:deo songa na ali baucha walipomtembelea kumjulia hali yake katika hospital ya amana dar-es-salaam...
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa mswaada taifa mh:Maisala akionyesha sura ya furaha baada ya kufanyiwa upasuaji wa kidole tumbo alhamis iliopita...