mkurugenzi wa unna group steven mfuko akichangia mada zilizokuwa zinaulizwa.
kikundi cha sas o wakiwa kwenye picha ya pamoja.
msanii lilian wa fish group la magomeni akiuliza swali kwa viongozi wa mkoa kinondoni.
mwenyekiti wa mkoa wa kinondoni ali baucha akiwa na kikundi cha fish group cha magomeni mapipa.
wasanii wakiskiliza kwa makini viongozi wa mkoa wa kinondoni.
kikundi cha unna group cha magomeni makuti.