Kutoka kushoto ni Khanifa,Christina na Khalfan a.k.a Uyoga Boga
Kutoka Kushoto ni Christina kama kawa-nI MUWEKA HAZINA wa chama,Uyoga Boga na Easter
Easter na Wilson Ishengoma
Ndugu Ali Baucha(kulia) amabaye ni mwenyekiti wa chama cha filamu mkoa wa kinondoni akiwa na Makamu Mwenyekiti wake (kushoto) wakijadili jambo
Mweka hazina wa chama,Kinondoni
Masoud Kaftan,mjumbe wa Bodi
Katibu wa Chama,Kinondoni
Nasra Safiel nae alikuwepo.Huyu ni Mjumbe wa bodi,Kinondoni
Ndugu Mwenyekiti wa Chama cha waigizaji Mkoa wa Kinondoni ,ndugu ALLY BAUCHA
Easter Saningu