kikundi cha tuesday entertament wakiwa pamoja na viongozi wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni.
wasanii wakiwa wanawasikiliza viongozi wakielezea mipango ya chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni.
tuesday entertemant wakimsikiliza makamu mwenyekiti wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni....
kiongozi wa tuesday entertement..dada venus,makamu mwenyekiti salum chilwa,mwenyekiti ali baucha na muweka hazina wa mkoa wakielezea mipango ya chama.
kikundi cha tanganyika arts group na viongozi wa mkoa wa kinondoni.
mwenyekiti wa taifa mike sangu na mwenyekiti wa mkoa wa kinondoni ali baucha wakijibu swali la mwigizaji kuhusiana na tasnia ya picha jongefu(filamu).
mwenyekiti wa chama cha waigizaji taifa mike sangu na mwenyekiti mkoa kinondoni ali baucha pamoja na makamu mwenyekiti mkoa kinondoni salum chilwa.
wasanii wa tanganyika arts group.
wasanii wakiwa makini kuskiliza harakati za chama(mr a.k.a. osama).