SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Monday, November 21, 2011

MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WAIGIZAJI NGAZI YA TAIFA WAFANYIKA LEO 20 NOV 2011....

 rais saimon mwakifamba akitoa maelekezo kwa wagombea kabla ya uchaguzi. 
 wagombea na viongozi wa mikoa wa chama cha waigizaji wakisubiri kupiga kura.
 uongozi wa chama cha waigizaji ngazi ya taifa uliochaguliwa kikatiba baada ya matokeo kutangazwa wakiwa pamoja na mwenyekiti wao mike sangu na makamu mwenyekiti ramadhani kingalu.
 mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi makubi akiwa na katibu wake christian kauzen na rais wa taff akiangalia kwa makini utaratibu wa uchaguzi
 viongozi wa mikoa wakisubiri kupiga kura...
 katibu wa kamati ya uchaguzi christian kauzeni na mwenyekiti wake na mjumbe wakianza taratibu za kuhesabu kura za uchaguzi taifa.
 mwenyekiti wa chama cha waigizaji taifa mike sangu na makamu mwenyekiti ramadhani kingalu baada ya kutangazwa kuwa washindi kwa kura 22 za ndio na kura mbili za hapana na hakuna iliharibika katika kura 24 zilizopigwa za viongozi wa mikoani.

 mwenyekiti mike sangu kabla ya kutangaza matokeo hali ilikuwa hivi ya wasi wasi.
 katibu wa mkoa wa ilala ndugu risasi akimpiga swali mwenyekiti mike sangu kabla ya uchaguzi kuanza.
 mwenyekiti wa chama cha waigizaji mkoa wa pwani ndugu simba.m.simba na makamu wake wakiwa tayari kwenda kupiga kura.
mwenyekiti wa mkoa wa ilala husna mgeni na makamu mwenyekiti wa mkoa wa kinondoni salum chilwa.