SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Friday, November 11, 2011

KINONDONI YAANZA SAFARI ZA KUTEMBELEA VIKUNDI VYA WAIGIZAJI....

dada mkuu mwavita akiwa makini na ynnah bakary kwenye mkutano wa vikundi.
mwenyekiti wa mkoa wa kinondoni ali baucha na makamu wake salum chilwa na katibu wake wilson ishengoma wakiskiliza matatizo ya wasanii wa vikundi baada ya kuwatembelea.
wajumbe wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni wakiwa pamoja na wasanii.
wasanii wa unna group wakionyesha mchezo wao walipotembelewa na viongozi na bodi yote ya chama cha uigizaji mkoa wa kinondoni.
hayaaaaa tenaaa sanaaa..... hiyooo ni zao la taifa
 ali koja na fatuma wajumbe wa bodi mkoa wa kinondoni.
 MKURUGENZI WA UNNA GROUP AKIWA NA VIONGOZI WA KINONDONI.
 VIKUNDI VYA UPENDO GROUP,MIGO GROUP NA MSIMAMO JANGWA GROUP WAKIWA NA VIONGOZI WA MKOA WA KINONDONI BAADA YA KUTEMBELEWA..
 MWENYEKITI AKIANGALIA KAZI ZILIZOFANYWA NA KIKUNDI CHA MSIMAMO JANGWA GROUP.
VIONGOZI WA MKOA WA KINONDONI WAKIWA PAMOJA NA KIKUNDI CHA UNNA GROUP MAGOMENI MAKUTI.