MWENYEKITI WA MKOA WA KINONDONI ALI BAUCHA AKIWA NA MAKAMU WAKE MR CHILWA WAKISKILIZA KWA MAKINI MKUTANO WA VIONGOZI WOTE WA MIKOA TANZANIA BARA ILIOKUWA IKIONGOZWA NA MWENYEKITI TAIFA MIKE SANGU WALIOKUTANA JANA KUTAMBUANA BAADA YA UCHAGUZI WA MIKOA ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI