TANZANIA DRAMA & FILM ACTORS ASOCIATION (TDFAA)
Chama cha Waigizaji Tanzania
RATIBA YA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WAIGIZAJI
UCHAGUZI VIONGOZI WA CHAMA MKOA
TUKIO | TAREHE | WASIMAMIZI/ WAHUSIKA | |
1 | Kuchukua fomu kwa makatibu wa chama wa Mkoa | Kuchukua na kurudisha 17/10/2011 hadi 21/10/2011 | Makatibu |
2 | Usaili kwa waliojitokeza | 22/10/2011 | Uongozi Taifa |
3 | Majibu ya usaili kwa waliojitokeza | 23/10/2011 | Uongozi Taifa |
4 | Kutangaza majina ya wagombea wa vyama | 24/10/2011 | Katibu Taifa |
5 | Kuanza kampeni na kumaliza | 24/10/2011 hadi 28/10/2011 | Wagombea |
6 | Semina kwa wasimamizi wa uchaguzi | 29/10/2011 | Uongozi Taifa |
7 | Uchaguzi wa viongozi wa vyama Temeke, Ilala, Kinondoni | 30/10/2011 | Bodi ya Taifa |
UCHAGUZI VIONGOZI WA TAIFA
TUKIO | TAREHE | WASIMAMIZI/ WAHUSIKA | |
8 | Uchukuaji wa fomu kwa wagombea | 02/11/2022 hadi 08/11/2011 | Katibu Taifa |
9 | Usaili kwa waliojitokeza | 09/11/2011 | Taff |
10 | Majibu kwa waliojitokeza | 10/11/2011 | Taff |
11 | Kampeni za wagombea | Kuanzia 11/11/2011 – Hadi 16/11/2011 | Wagombea |
12 | Uchaguzi wa viongozi wa Taifa | 20/11/2011 | Shirikisho la Filamu |