mwenyekiti wa chama cha waigizaji taifa mike sangu aliechaguliwa kwa mujibu wa katiba kwa miaka mitatu alipita kwa kishindo cha kupata kura za ndio 22 kati ya kura 24 zilizopiga na viongozi wa mikoa ya tanzania bara, hakuna kura ilioharibika na za hapana ni mbili
makamu mwenyekiti ramadhani kingalu alichaguliwa kuwa makamu wa mwenyekiti kwa miaka mitatu katika uchaguzi uliofanyika jumapili tarehe 20 nov 2011 na kupata kura za ndio 22 na hamna ilioharibika na mbili za hapana na viongozi wa mikoa ya tanzania bara.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa ambae ni mwenyekiti wa mkoa wa ilala husna mgeni nae aliongoza kwa kupata kura 21 za ndio na hapana moja kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa ambae ni mwenyekiti wa mkoa wa kinondoni ali mohamed baucha nae alifatia kwa kupata kura 19 za ndio na hapana tatu kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa ambae ni mwenyekiti wa mkoa wa pwani simba m simba nae alifatia kwa kupata kura 18 za ndio na hapana nne kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa joice temu nae alifatia kwa kupata kura 17 za ndio na hapana tano kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa paul mtenda nae alifatia kwa kura 17 za ndio na hapana tano kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa bianca timoth nae alifatia kwa kura 16 za ndio na hapana sita kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa nae alifatia kwa kura 13 za ndio na hapana tisa kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa na mwenyekiti wa mkoa wa temeke fredy sunari nae alifatia kwa kupata kura 13 za ndio na hapana tisa kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.
mjumbe wa bodi ya chama cha waigizaji taifa richard luhende nae alifatia kwa kupata kura 13 za ndio na hapana tisa kati ya kura 22 za viongozi wa mikoa walizopiga kura.