SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Saturday, November 19, 2011

JET SET YAWA MSTARI WA MBELE KWENYE HARAKATI MKOA KINONDONI....

 kikundi cha jet set wakiwa pamoja na viongozi wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni.
 mwenyekiti wa waigizaji mkoa wa kinondoni ali baucha na makamu wake salum chilwa..
 wasanii wakiwa makini kuskiliza viongozi wa mkoa wa kinondoni.
wasanii wa jet set aiseeeee.....