saidi fundi a.k.a mzee kipara akiwa na mwenyekiti ali baucha na katibu wilson ishengoma wa chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni baada ya kumtembelea kigogo kujua hali yake inavyoendelea.
saidi fundi a.k.a mzee kipara
wajumbe wa bodi wa chama cha waigizaji t.d.f.a.a wakiwa katika nyumba ya kaole group kumtembelea mzee kipara.
wajumbe wa bodi na mzee kipara kwake kigogo
saidi fundi akiwa na mweka hazina wa t.d.f.a.a. christina wa kinondoni na mjumbe wa bodi sheggy.
mjumbe wa bodi mariam athumani a.k.a kalunde akiwa kitandani baada ya kupata matibabu.