natasha akiwa njiani kuingia radio uhuru fm kwa mahojiano na mwenyekiti wa chama cha waigizaji taifa mike sangu.
natasha akiwa tayari kuanza mahojiano radio uhuru fm dar-es-salaam.
mwenyekiti taifa mike sangu,katibu wake ndugu kauzeni,natasha na mwinyi wakiwa tayari kuanza kipindi cha kuwataka wanachama kujiunga kwa wingi ndani ya chama cha waigizaji.
ndugu mwinyi katibu mkuu wa mkoa wa ilala aliepita... awaomba sana wasanii wote wa kuigiza wajiunge na chama(T.D.F.A.A) kama mie ni mwanachama hai wa chama cha waigizaji fanya hivyo sasa.....ndugu mwinyi akitoa tamko hilo radio uhuru fm.
wilson ishengoma,natasha,mwinyi,kingalu wakiwa pamoja radio uhuru fm na viongozi wao.mwinyi,kingalu,mwenyekiti taifa mike sangu na mwenyekiti mkoa wa kinondoni ali baucha.