RAIS WA SHIRIKISO LA FILAMU TANZANIA (SAIMON MWAKIFAMBA)
Shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) wakishirikiana na body ya filamu Tanzania Wanawaletea mkutano wa wadau wote wa filamu Tanzania utakaofanyika tarehe 7-dec-2011 ktk ukumbi wa vijana social hall itakaofanyika saa saba kamili mchana agenda kuu ya mkutano ni mustakabali mzima wa tasnia ya filamu katika kuazimisha miaka hamsini ya uhuru na mikakati ya miaka hamsini ya ijayo katika tasnia ya filamu tanzania. tumethubutu, tumeweza, na tunazidi kusonga mbele,, tafadhali usomapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako, AMKA TAFF NURU YA HAKI.....