marehemu abbel olemotika(mr ebbo)
Msanii wa musiki pia hata filamu abbel olemotika(mr ebbo) ambaye ni producer wa motika records iliyopo tanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa maradhi yaliokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu...chama cha waigizaji mkoa wa kinondoni kinatoa rambirambi kwa familia ya mzee olemotika na wapenzi wa mr ebbo...mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...amin.