RAIS wa shirikisho la FILAMU Tanzania MH.Simon Mwakifwamba akiwa na bodi yake ya shirikisho la filamu wakizungumza na wasanii wa filamu na viongozi wa vyama wanachama wa shirikisho la FILAMU mbele yao ( hawapo pichani ) ktk mkutano mkubwa wa wadau wa FILAMU kuhusiana na salamu za mkuu wa nchi MH. DR. JAKAYA KIKWETE alizowapa walipozungumza wakati wa maziko ya marehemu JUMA KILOWOKO (SAJUKI) mwanzoni mwa mwezi wa kwanza mwaka 2013