MKUTANO MKUBWA SANA WA WADAU WOTE WA FILAMU
waigizaji wa FILAMU na WADAU WOTE wa FILAMU wanahitajika kwa wingi kufika kesho kuanzia saa 4:00 asubuhi ktk ukumbi wa VIJANA HOSTEL KINONDONI ili kuinusuru sekta ya filamu kutoka katika mpango wa kidhalimu unaoratibiwa na baadhi ya watendaji wa serikali kama katibu wa BODI ya FILAMU bibi JOYCE FISOO na MKURUGENZI wa COSOTA ndg.MKINGA,hawa wote kwa pamoja wamegundulika kuwa ndio waratibu wa UMASIKINI wa WASANII wa FILAMU na MUZIKI wa TANZANIA
HALA HALA ILI KUONDOKANA NA UMASIKINI ULIOKITHIRI KWA WASANII WALIO WENGI WA FILAMU TUFIKE ILI TUAMUE HATMA YA MAISHA YETU NA VIZAZI VYETU,
MKATAE NDG. MKINGA ,MKATAE BIBI JOYCE FISOO KWA MAENDELEO YA FILAMU NA TASNIA KWA UJUMLA WAKE.