Umati wa wasanii waliofurika katika ukumbi wa vijana kinondoni kujadili kanuni za bodi ya filamu tanzania
Katibu mkuu wa shirikisho la filamu tanzania ndugu wilson makubi akitoa maelezo ya awali kabla ya kikao kuanza..
Steven kanumba akichangia mawazo yake na kusema kanuni za bodi ya filamu ni hazifai inabidi zibadilishwe zote kwa kushirikiana na wasnii na sio wao peke yao...
Jacob stevene akiwa nae mmoja wapo aliekuwepo katika mkutano huo..
Chiki mchomi akitoa mawazo yake pia na kusema kuwa kanuni za bodi ya filamu hazifai na cha msingi zifutwe zotee...
William mtitu akitoa mawazo yake na kuonekana anapotosha umma baada ya kusema taff haiusiki katika kusimamia mkutano huo kwa maana taff haikuainishwa ndani ya kanuni hizo...
Steve nyerere nae alichangia vizuri sana katika mkutano huo....
Rich akiwa makini nae kumsikiliza mwenyekiti wa chama cha waigizaji taifa mike sangu...
wasanii mbali mbali walikuwepo kuchangia kanuni hizo na hitimisho wa mkutano huo ni kwamba WASANII KWA PAMOJA HATUKUBALIANI NA KANUNI YA BODI YA FILAMU TANZANIA NA ZIFUTWE ZOTE HAZIFAI HATA KIDOGO CHA MSINGI TUKAE KWA PAMOJA NA WASANII TUCHANGIE MAMBO YETU YANAYOTUHUSU..MAANA HIZO KANUNI ZINATUKANDAMIZA WASANII NA KUUA TASNIA NZIMA YA FILAMU TANZANIA ...HATUZITAKIIIII.....