SLIDE SHOWS ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI......LOL

Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni Photos Slideshow: CHAMA’s trip to Dar es Salaam, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Dar es Salaam slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

Monday, October 31, 2011

CHAMA CHA WAIGIZAJI NA MBWEMBWE ZA WASANII

Mike (mwenyekiti wa chama cha waigizaji)  

HIVI karibuni kulifanyika uzinduzi wa Chama cha Waigizaji katika Ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni, katika uzinduzi huo kulikuwa na Wasanii wengi waliobahatika kuhudhuria katika tukio hilo la aina yake, Mbwembwe zilianza pale Rais wa Shirikisho la wasanii wa filamu alipomaliza kuhutubia na kurudisha nafasi kwa Mwenyekiti cha Chama hicho Michael Sangu (Mike).
Awali Rais wa Shirikisho hilo Simon Mwakifwamba alisema kuwa ni bora kuwa na vyama wanachama wachache lakini venye uhai kuliko kuwa na vyama vingi ambavyo si hai, pia katika hotuba yake alisisitiza kuhusu upendo na ushirikiano katika kujenge sanaa pamoja kuongeza elimu kwa kazi wanayofanya katika tasnia hii ya Filamu.
“Tunachangamoto nyingi sanaa zinatukabiri katika tasnia ya filamu kwa hapa nchini ikiwa ni pamoja na Elimu, lakini pia tumewasahau sanaa wasanii wa Mikoani, na baadhi ya wasanii wanapoenda Mikoani wanaahidi kuwasadia wasanii kwa kusema watawatoa lakini jambo linalosikisha ni kwamba rushwa ya ngono inahusika, hivi karibuni nilikuwa Mkoani Mwanza kwa ajii ya Uenezi wa Shirikisho, niliyoyakuta huko ni aibu” Anasema Rais Mwakifwamba.

  ............. .Habari na FilamuCentral...........